Katibu Mkuu Maji aitaka DAWASA kufunga mkanda mapambano upotevu wa maji
Baraza kuu la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) limekutana kujadili na kuweka mwelekeo wa vipaumbele vya Mamlaka kuelekea mwaka wa fedha 2026/2027, likilenga kuimarisha utoaji wa huduma ya majisafi na salama kwa wananchi. Akizungumza katik kikao kazi hicho, Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mhandisi...