Sababu za Gachagua ‘kumuuzia’ Kalonzo Jicho Pevu
Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua amesema kuwa upinzani umefikia makubaliano ya pamoja ya kumuidhinisha Mbunge wa Nyali Mohammed Ali kuwania kiti cha ugavana kaunti ya Mombasa kupitia tiketi ya chama cha Wiper Democratic Movement. Akizungumza na vyombo vya habari vya Pwani Aprili 25, Gachagua alieleza kuwa licha ya Mohammed Ali kuwa...